Siku | Sehemu ya kwenda | Sehemu ya kuondokea | Muda wa kuondoka | Bei ya tiketi |
Juma Pili | Watoto wa Muslim (a.s)+ Kadhimiyya takatifu | Mlango wa Bagdad karibu na dirisha | Saa moja asubuhi | 5000 Dinari za Iraq |
Juma Nne | Njafafu Ashrafu+ Kufa+ Masjid Sahla | Mlango wa Bagdad karibu na dirisha | Saa saba Adhuhuri | 4000 Dinari za Iraq |
Juma Tano | Hamza+ Qassim+ Alawiyyat Sharifah | Mlango wa Bagdad karibu na dirisha | Saa moja asubuhi | 4000 Dinari za Iraq |
Ijumaa | Samara+ Sayyid Muhammad (a.s) | Mlango wa Bagdad karibu na dirisha | Saa kumi na mbili asubuhi | 9000 Dinari za Iraq |
Kufanya buking (kuweka oda) na kupata maelezo zaidi piga namba zifuatazo:
07602327074/ 07602326779, ua tembelea ofisi za idara zilizopo katika eneo la mlango wa Bagdad jengo la Askariyain (a.s) –hoteli ya Dalla ya zamani- mkabala na dispensary ya mlango wa Bagdad au ofisi ya buking ya Saaqi katika barabara ya Maitham Tamaar.
Tambua kua basi zinazo tumika ni za kisasa na zina vitia baridi (A/C) zinabeba watu (50) na zipo za watu (29).
Tunapenda kukujulisha kua eneo la mlango wa Bagdad lipo upande wa kaskazini ya Atabatu Abbasiyya tukufu.