Kubadilisha jina kutoka (Chuo cha masomo ya kibinadamu) chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu, na kua (Chuo kikuu cha Alkafeel)..

Maoni katika picha
Yamefikiwa makubaliano na wizara ya elimu ya juu na utafiti wa kielimu ya kubadilisha jina, kutoka (Chuo cha masomo ya kibinadamu) chini ya kitengo cha malezi na elimu ya juu katika Atabatu Abbasiyya tukufu kilichopo katika mji wa Najafu, na kua (Chuo kikuu cha Alkafeel), kutokana na upanuzu uliofanywa na kuongezwa vitivo (michepuo) zaidi, hivyo kukifanya kisiendane na jina la zamani, hivi sasa chuo kina michepuo nane ambayo ni:

  • 1- Tiba ya meno.
  • 2-
  • 3-
  • 4- Uhandisi wa tanakilishi (kompyuta).
  • 5-
  • 6-
  • 7-
  • 8- Utalii wa kidini

Kumbuka kua chuo hiki kipo chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu na ni miongoni mwa vyuo binafsi vinavyo tambuliwa na wizara ya elimu ya juu na utafiti, juhudi zinafanyika kuifanya kua taasisi bora kabisa ya kisekula, inaweza kufikia viwango vya kimataifa katika sekta ya elimu, tafiti na jamii, na kuitumikia jamii katika kuleta maendeleo kwa ujumla, na kua chuo chenye nafasi kubwa kitaifa kitakacho kidhi haja na mahitaji ya kielimu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: