Hivi punde: Wapiganaji wa Abbasi wavamia makao makuu ya mji wa Tal-afar..

Maoni katika picha
Wapiganaji wa kikosi cha Abbasi (a.s) wameanza kuingia katikati ya mji wa Tal-afar upande wa kusini mashariki ya mji huo, baada ya kufanikisha kuvunja ngome ya mwisho ya magaidi wa Daesh na kuwapa hasara kubwa ya vifaa na roho, wameanza kuingia katikati ya mji huo baada ya siku tano tangu kuanza kwa vita, na kufanikiwa kuteka vitongoji vya Jazira, Nuru na Khadhraa.

Kumbuka kua kikosi cha Abbasi (a.s) kimeshiriki katika vita ya kukomboa mji wa Tal-afar, kikiwa na wapiganaji elfu tano, walio gawanywa katika brugedi tatu; ya mizinga, watembea kwa mikuu, na brugedi ya mikakati, katika hatua ya kwanza wamefikia malengo yao yote na wametoa kipigo kikali kwa adui.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: