Kupitia mtandao wa kimataifa wa Alkafeel utakua ndani ya matukio ya Ashura

Maoni katika picha
Kila anaetaka kuishi katika hali ya mazingira ya maombolezo ya Ashura yanayo fanyika katika mji wa Mashahidi Karbala takatifu, anaweza kufuatilia kupitia moja ya njia zifuatazo:

Kwa kupitia toghuti ya kimataifa ya Alkafeel, ambayo ni: https://alkafeel.net

Au kwa kupitia mitandao ya kijamii ifuatayo:

  • 1- Facebook: https://www.facebook.com/alkafeel.global/
  • 2- Twittre: https://twitter.com/AlkafeelAbbas
  • 3- Telegram: https://telegram.me/alkafeel_global_network
  • 4- Instgram: https://www.instagram.com/alkafeel.global.network/
  • 5- Youtube: https://www.instagram.com/alkafeel.global.network/
  • 6- Google: https://plus.google.com/116326535712638806142

Kwa kupakua android: https://play.google.com/store/apps/details?id=net.alkafeel.arabic
kwa kupakua IOS: https://itunes.apple.com/us/app/shbkt-alkfyl-al-almyt/id1022411525?mt=8

Kwa kutumia anuani hizo utapata mambo mengi, miongoni mwa mambo utakayo pata ni habari za Ataba tukufu, kujisajili katika ukurasa wa ziara kwa niaba, utaona maktaba ya picha za mnato na za video, na unaweza kupakua kwa ubora mzuri, pia unaweza kuingia katika ukurasa wa matangazo ya moja kwa moja, ukaona moja kwa moja yanayo jiri katika uwanja wa haram tukufu, pamoja na kuona yanayo fanyika katika eneo la katikati ya haram mbili tukufu (Husseiniyya na Abbasiyy), hali kadhalika unaweza kuangalia hutuba za Ijumaa na unaweza kusikiliza redio ya Alkafeel.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: