Kupitia program ya mimi nipo nanyi unaweza kusajili jina lako miongoni mwa wanao shiriki matembezi ya Arubainiyya..

Maoni katika picha
Katika sura mpya na huduma bora mwaka wa pili mfululizo, mtandao wa kimataifa Alkafeel ambao ndio mtandao rasmi wa Atabatu Abbasiyya tukufu unaendelea na program ya (Mimi nipo nanyi) kupitia simu za kisasa (Smart phone) unaweza kuingiza picha za matembezi yako katika mtandao na zitahakikiwa na kusanifiwa na wataalamu wetu kisha kuhifadhiwa katika mitandao ifuatayo:

https://play.google.com/store/apps/details?id=alkaefel.net.anh

na mtandao wa:

https://itunes.apple.com/us/app/ana-m-km/id1172405052?mt=8
program hii imefanyiwa marekebisho na kuingizwa huduma mpya zinazo muwezesha mtu kutuma picha ya video au ujumbe wa maandishi akiwa katika ziara hii (ya Arubainiyya) na baada ya kukaguliwa na watalamu wetu na kuufanyia maboresho kama yapo unaingizwa katika program (dirisha) la (Mimi nipo nanyi) kwenye mtandao wa kimataifa wa Alkafeel, ambao ndio mtandao rasmi wa Atabatu Abbasiyya tukufu.

Kumbuka kua program hii ni miongoni mwa program zilizo buniwa na kutengenezwa na wataalamu wa mtandao wa Alkafeel kutoka katika idara ya Intanet chini ya kitengo cha habari na utamaduni cha Atabatu Abbasiyya tukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: