Vituo katika njia ya pepo: Hilla yaziridhisha nyoyo za mazuwaru wanaopita katika mji huo…

Maoni katika picha
Hilla ni njia kuu ya mazuwaru wanao kwenda Karbala, imeweka mawakibu za kupokea mazuwari wa Imamu Hussein (a.s) na kutoa huduma katika kila njia, Hilla ni mji wa heshima na utukufu, ni mji wa Imamu Hassan Al-Mujtaba (a.s), wamesoma ukarimu kwa mjukuu wa Mtume wa Mwenyezi Mungu Imamu Hassan kupokea mazuwaru wa kaburi la ndugu yake na watu wanao huisha ziara ya Arubaini.

Mji wa Hilla ni miongoni mwa miji muhimu sana, kutokana na kua kwake karibu na mji wa Karbala, kila anaye taka kwenda kwa Imamu Hussein (a.s) kutokea kusini mwa Iraq lazima apite katika mji huo, hata kama anataka kutumia barabara ya (Najafi – Karbala), watu wanaotoka mkoa wa Diwania, Nahik na wanaotoka nchi jirani kwa kuingilia mji wa Waasit na wakaamua kwenda kwa miguu kwa Imamu Hussein (a.s), lazima wapitie katika mji huu, na wanapo ingia katika nji wa Hilla azma zao huongezeka na hujihisi kana kwamba wameingia Karbala.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: