Mtandao wa Alkafeel watangaza majina yaliyo shinda katika kura ya ziara kwa niaba…

Maoni katika picha
Mtandao wa Alkafeel umetangaza majina kumi yaliyo shinda katika kura ya watu waliojisajili katika ukurasa wa ziara kwa niaba kwenye ziara ya Arubaini ambao idadi yao ilifika (24500) kutoka nchi tofauti duniani.

Ilifanyika kura ya kielektronik kwa ajili ya kupata majina kumi ambayo watawasiliana nao kwa kutumia anuani za barua pepe, tambua kua miongoni mwa zawadi watakazo pewa ni pamoja na pete yenye jiwe la marumaru iliyo kuwepo katika haramu ya Abulfadhil Abbasi (a.s) na koponi mbili za chakula katika mgahawa (mudhifu) wa Abulfadhil Abbasi, ambapo wataenda kula chakula cha tabaruku pamoja na zawadi zingine.

Majina yaliyo faulu ni:

  • 1- Muhammad Abdullahi Swalehe, kutoka Saudia.
  • 2- Yusufu Khadhar Shawaribu, kutoka Saudia.
  • 3- Maryam Adiy Hatam Muhammad, kutoka Iraq.
  • 4- Bu Muhammad Ali, kutoka Saudia
  • 5- Batuli Makiy Ali, kutoka Iraq.
  • 6- Fatuma Samiri Daru, kutoka Saudia.
  • 7- Maitham Nafri, kutoka Iran.
  • 8- Fatuma Hussein Abdullahi, kutoka Saudia.
  • 9- Alaa Hana, kutoka Iraq.
  • 10- Faizi Ibrahim Aali Maajid, kutoka Saudia.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: