Miongoni mwa bidhaa za shirika la Aljuud zilizo onyesha mafanikio: ni bidhaa ya (Aljoud Ultrasound Gel)…

Maoni katika picha
Maendelea yanayo shuhudiwa Iraq katika sekta tofauti, ikiwemo sekta ya afya na vifaa tiba, mingoni mwa vifaa hivyo ni (Aljoud Ultrasound Gel), bidhaa hii ipo katika aina tofauti, baadhi yake hua na matokeo mabaya, jambo ambalo limeathiri soko la bidhaa hiyo, ndipo shirika la teknolojia ya kilimo cha kisasa aljuud likachukua chukumu la kutengeneza bidhaa hiyo (Aljoud Ultrasound Gel) kwa viwango vinavyo kubalika kimataifa, bidhaa hii inaingia katika orodha ya vifaa tiba vinavyo tengenezwa na shirika hili.

Sifa za pekee zinazo ifanya bidhaa hiyo ionekane kua bora kushinda bidhaa za aina hiyo za kitaifa na kimataifa ni:

 • - Inaonyesha kwa kiwango cha juu na kwa uwazi alama za matokeo.
 • - Haipotezi alama jambo ambalo linasaidia kupata majibu ya uhakika.
 • - Inatumia umeme vizuri na inatoa picha yenye muonekano mzuri na isiyo fifia.
 • - Ina uwezo maalumu wa kubaini kwa sababu inasifa za kifizikia zinazo iwezesha kua hivyo.
 • - Ni bidhaa yenye mchanganyiko adim na harufu nzuri.
 • - Harufu yake haimdhuru mgonjwa wala haina athari yeyote kwenye ngozi.
 • - Inakauka haraka baada ya kuitumia, hailazimiki kwa mgonjwa kujifuta au kunawa.
 • - Bidhaa hii inaubora wa juu na imekidhi viwango vya taasisi za afya za kimataifa, pia imepasishwa na taasisi ya viwango ya Iraq.
 • - Bidhaa hii ni rafiki wa mazingira na rahisi kuitumia pia unaweza kuitumia katika vifaa vyote vya Ultrasound.
 • - Haina kemekali zinazo dhuru ngozi.
 • - Inakubaliana na aina zote za ngozi za binadamu.
 • - Kiwango chake cha mafuta ni kizuri na haiachi athari.
 • - Haija changanywa na chumvi wala haina kemikali zinazo weza kuathiri uso au mwili wa mgonjwa.
 • - Inasambaa kwa kiwango sawa katika sehemu inayo kusudiwa kupimwa bila kujazana sehemu moja au kukauka.

Kumbuka kua bidhaa hii inapatikana katika vituo vya mauzo ya moja kwa moja vya shirika hili ndani na nje ya mkoa wa Karbala, kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba (07801930125 au 07801035422) au tembelea kituo cha masoko kilichopo barabara ya Karbala/Najafu mkabala na nguzo namba (1145), bidhaa hii inapatikana katika ujazo wa (ml 500) na (lita 5).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: