Kufuatia sherehe za mazazi ya Maimamu walio zaliwa katika mwezi huu wa Shabani: Hospitali ya rufaa Alkafeel inapokea wazazi na watu wanao lazwa bure…

Maoni katika picha
Kufuatia sherehe za mazazi ya Maimamu walio zaliwa katika mwezi huu wa Shabani, Hospitani ya ruraa Alkafeel iliyo chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu imetangaza kutoa uduma za kuzalisha wakina mama waja wazito na kulaza wagonjwa bure katika siku zitakazo sadifu tarehe za mazazi tukufu ambazo ni (3, 4, 5, 11, 15) za mwezi wa Shabani.

Uongozi wa hospitali umesema kua ofa hiyo ni kwa ajili ya kuhuisha kumbukumbu za kuzaliwa kwao, na itawahusu watu wote, wameteuliwa watumishi watakao simamia swala hilo.

Kwa maelezo zaidi piga simu namba (07602329998).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: