Majina ya washindi wa shindano la utafiti katika kongamano la nane la wanawake ambalo ni sehemu ya kongamano la Rabiu shahada…

Maoni katika picha
Kamati inayo simamia shindano la utafiti katika kongamano la nane la wanawake ambalo ni sehemu ya kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu shahada awamu ya kumi na nne, imetangaza washindi wa shindano la utafiti ambao ni hawa wafuatao:

Mshindi wa kwanza: Shimaa Saami Ibrahim, utafiti wake unasema (Nafasi ya vyombo vya habari katika kufanikisha ushindi).

Mshindi wa pili: Yusra Shaakir Jaasim, utafiti wake unasema (Nafasi ya imami katika misimamo ya jihadi).

Mshindi wa tatu: Mheshimiwa Abusi Muhsin, utafiti wake unasema (Mkakati wa kijeshi katika kuitisha vita kwa mujibu wa Imamu Zainul-Aabidiin (a.s), utafiti na uchambuzi wa hoja).

Kamati imebainisha kua, jumla ya tafiti walizo pokea zilikua (46) kutoka ndani na nje ya Iraq, zilizo kua zinahusu mada zilizo tanganzwa kushindaniwa, zote zilishindanishwa chini ya kamati ya wataalamu iliyo pewa jukumu hilo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: