Idara ya kunufaika na mitambo yafungua mtangao wa kielekronik unao onyesha harakati zao…

Maoni katika picha
Idara ya kunufaika na mitambo ya Atabatu Abbasiyya tukufu imeanza kupanua huduma zake, na kwa ajili ya kuwarahisishia wanufaika wa huduma zake, ili maendeleo ya teknolojia yaweze kuwanufaisha katika utoaji wa huduma zake kwa raia, watalamu wa idara ya Intanet chini ya kitengo cha habari na utamaduni cha Atabatu Abbasiyya tukufu, wametengeneza mtandao maalumu utakao ingizwa katika orodha ya mitandao ya Alkafeel.

Anuani ya mtandao huo ni:

https://alkafeel.net/mechanisms_inv/

Mtandao huu una milango na kurasa nyingi, miongoni mwake ni:

  • 1-
  • 2-
  • 3-
  • 4-

Hali kadhalika mtandao huo una maelezo kamili kuhusu huduma zinazo tolewa na idara hiyo na namna ya kuoda gari na mengineyo, sambamba na maelezo ya safari wanazo fanya (ndani na nje ya nchi) pamoja na misafara ya Umra.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: