Wito wa kuandika jarida la Riyaadhu Zaharaa (a.s) la wanawake…

Maoni katika picha
Uongozi wa wahariri wa jarida la (Riyaadhu Zaharaa –a.s-) linalo tolewa na idara ya wanawake chini ya kitengo cha habari na utamaduni cha Atabatu Abbasiyya tukufu, umetoa wito kwa waandishi wote na wadau wa habari wa kike, wajitokeze kuandika mambo mbalimbali yanayo endana na sera za jarida hili katika milango yake tofauti, sharti mada itakayo tumwa isiwe imesha wahi kuandikwa au kutolewa na jarida lingine, na iandikwe kwa lugha ya kiarabu.

Uongozi wa wahariri umebainisha kua; habari zinaweza kutumwa kupitia Imail: (reyadalzahra@alkafeel.net) au kwa kupeleka katika ofisi za jarida zilizopo ndani ya ukumbi wa haram tukufu ya Abulfadhil Abbasi (a.s), mlango wa 9.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: