Tafiti hizo zilichujwa kwa kufuata masharti na kanuni za kielimu, matokeo yaliyo tangazwa yapo kama yafuatavyo:
- 1- Utangazaji wa namba (utangazaji mpya) wa dokta Ghadhuun Hussein.
- 2- Njia za upotoshaji wa habari na nafasi yake katika kujenga uwelewa. Dokta Taghridi Haidari.
- 3- Upotoshaji wa habari na nafasi yake katika kubadilisha ukweli (vyombo vya habari vya Daesha kama mfano). Dokta Khadija Hassan Alqaswiir.
Tafiti hizo pia zitajadiliwa katika kikao cha kiutafiti chini ya mkutano wa waandishi wa habari wa tatu na kuongozwa na Dokta Maryam Tamimi.
Tunapenda kufahamisha kua mashindano ya kitafiti yanalenga kuongeza ufanisi katika sekta ya uwandishi wa habari chini ya misingi sahihi ya kimataifa.