Muhimu kwa vyombo vya habari: Kituo cha uzalishaji wa vipindi na matangazo ya moja kwa moja chaandaa masafa ya bure ya kurusha ziara na ibada za Arafa…

Maoni katika picha
Kituo cha uzalishaji wa vipindi na matangazo ya moja kwa moja chini ya kitengo cha habari na utamaduni cha Atabatu Abbasiyya tukufu, kimetangaza masafa ya bure itakayo tumika kurusha ziara na dua za Arafa kutoka ndani ya malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) pamoja na eneo la katikati yao, kutakua na kisomo cha dua katika uwanja wa eneo la katikati ya haram mbili tukufu kitakacho ongozwa na Shekh Ahmadi Daru Al-Aamiliy.

Masafa hayo yanapatikana kupitia anuani zifuatazo:

SAT:INTELSAT 902@62°E
DL:11457.5V
SR:3000
DVBS2
8PSK
FEC 2/3
HD/MPEG-4

Kituo kimefafanua kua inawezekana kufuatilia matangazo hayo au kupakua kwa kutumia youtube kwa anuani ifuatayo:

https://www.youtube.com/channel/UCy0MMgRho_O8jxiIj46qMxw

Au kwa kutumia facebook, kwa anuani ifuatayo:

https://m.facebook.com/alkafeel.for.artistic.production/

kwa maelezo zaidi piga simu namba: (009647706007187).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: