Kwa picha: Uhuishaji wa maombolezo ya Ashura umeongezeka katika miji mingi Duniani…

Maoni katika picha
Asilimia kubwa ya miji Duniani imeshuhudia ongezeko kubwa la maombolezo ya Imamu Hussein (a.s) katika kumbukumbu ya Ashura, ambayo hayakuhuishwa na wapenzi na wafuasi wa Ahlulbait (a.s) peke yao, bali wameshiriki watu wa mila na mitazamo tofauti, kutokana na kauli ya Imamu Swadiq (a.s) isemayo: (Huisheni mambo yetu.. Mwenyezi Mungu amrehemu atakaye huisha mambo yetu).

Na sisi tunatilia umuhimu sana maombolezo haya, tunatoa wito wa kushikamana na malengo yake, kutokana na jukumu la usambazaji wa habari tulio nao, na kuonyesha majlis zinazo fanyika kila mahala, tumepiga picha chache za harakati zilizo fanywa na wapenzi wa Ahlulbait (a.s) katika baadhi ya miji Duniani, ambazo ni hizi hapa chini..
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: