Uongozi mkuu wa Ataba mbili tukufu Husseiniyya na Abbasiyya wafanya majlis ya kuomboleza kifo cha Alamah Sayyid Muhammad Ali Halo…

Maoni katika picha
Kwa nyoyo zilizo jaa imani ya hukumu ya Mwenyezi Mungu na uwezo wake uongozi mkuu wa Ataba mbili tukufu Husseiniyya na Abbasiyya jioni ya leo Alkhamisi (17 Muharam 1440h) sawa na (27 Septemba 2018m) umefanya majlis ya kuomboleza kifo cha Alamah Sayyid Muhammad Ali Halo katika eneo la katikati ya haram Mbili tukufu, kutokana na kuthamini kwao kazi kubwa ya elimu aliyo ifanyia Dini na madhehebu ambayo imeacha athari kubwa, tunamuomba Mwenyezi Mungu mtukufu amuingize katika pepo ya Firdausi jirani na Mitume na waja wepa sambamba na Maimamu watakasifu na awajalie subira ndugu na wapenzi wake pamoja na malipo makubwa.

Kumbuka kua marehemu Alamah Sayyid Muhammad Ali Halo alifariki siku ya Juma Nne (8 Muharam 144oh) sawa na (18 Septemba 2018m) baada ya kusumbuliwa na maradhi.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: