Una ujumbe gani katika ziara ya Arubaini ya mwaka 1440h?

Maoni katika picha
Kwa ajili ya kuhudhurisha yaliyopo katika fikra za zaairu wa Arubaini ya Imamu wao na kiigizo chao, taa lao Imamu Hussein (a.s), na kutafsiri fikra hizo katika picha halisi kupitia anuani ya barua ya wazi baina ya mpenda na mpendwa wake itakayo onyesha hisia zake, Maahadi ya turathi za Mitume na masomo ya hauza kwa njia ya mtandao chini ya kitengo cha habari na utamaduni cha Atabatu Abbasiyya tukufu imeandaa barua ya mfano ya kielektronik yenye vipengele vingi.

Idara imesema kua; baada ya kuisha kwa msimu wa ziara itakusanya barua hizo na kuziweka mbele ya kamati maalumu kwa ajili ya kuzichapa na kuziweka katika toleo maalumu zile zitakazo faa.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: