18 Safar 1440h.
- 1- Kuanzia saa 12 hadi saa 3 asubuhi mkoa wa Naswiriyya na wilaya zake.
- 2- Kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 5 Adhuhuri mkoa wa Ammaarah na wilaya zake.
- 3- Kuanzia saa 7 hadi saa 8 baada ya Adhuhuri majlisi ya kuomboleza itakayo simamiwa na Munadhat Badri.
- 4- Kuanzia saa 8 baada ya Adhuhuri hadi saa 10 Alasiri mkoa wa Diyala na Swalahu Dini.
- 5- Kuanzia saa 10 hadi saa 11:30 kikundi cha Answaru Shahidi Swadri.
- 6- Kuanzia saa 12:30 hadi saa 2 usiku mkoa wa Waasitu na wilaya zake.
- 7- Kuanzia saa 2 hadi saa 4 usiku mkoa wa Diwaniyya na wilaya zake.
- 8- Kuanzia saa 4 hadi saa 5 usiku mkoa wa Bagdad na wilaya zake.
- 9- Kuanzia saa 5 hadi saa 6 usiku mawakibu kutoka katika nchi za kiarabu na kiislamu.
19 Safar 1440h.
- 1- Kuanzia saa 1 hadi saa 2 asubuhi kadhimiyya tukufu.
- 2- Kuanzia saa 2 hadi saa 3 asubuhi mkoa wa Najafu na wilaya zake.
- 3- Kuanzia saa 3 hadi saa 5 mkoa wa Basra na wilaya zake.
- 4- Kuanzia saa 7 hadi saa 8 baada ya Adhuhuri mkoa wa Samaawah na wilaya zake.
- 5- Kuanzia saa 8 hadi saa 10 Alasiri maukibu za Hizbu Da’awah na kabila la bani Tamiim.
- 6- Kuanzia saa 10 hadi saa 11:30 Alasiri mkoa wa Baabil na wilaya zake.
- 7- Kuanzia saa 1 hadi saa 3 usiku mkoa wa Karkuuk na Nainawa.
- 8- Kuanzia saa 3 hadi saa 4 usiku wilaya ya Ainu Ttamr.
- 9- Kuanzia saa 4 hadi saa 6 usiku mawakibu kutoka katika nchi za kiarabu na kiislamu.