Wanafunzi waliopewa zawadi ni:
- 1- Zainul-Aabidina Ali Kaadhim, mwanafunzi wa shule ya sekondari (upili) aliyeshika nafasi ya kwanza kitaifa.
- 2- Abdullahi Twalibu Hamza, kutoka shule ya msingi ya wavulana Al-Amed ambayo ni miongoni mwa shule za Al-Ameed.
- 3- Ahmadi Aamir Twalibu, kutoka shule ya msingi ya wavulana Sayyidul-Maa ambayo ni miongoni mwa shule za Al-Ameed.
- 4- Dhulfiqaar Muhammad Hussein, kutoka shule ya wavulana Nurul Abbasi (a.s) ambayo ni miongoni mwa shule za Al-Ameed.
- 5- Abbasi Maajid Abdu Abbasi, kutoka shule ya msingi Abu Twalibu, ambayo ni miongoni mwa shule za Al-Ameed.
- 6- Sara Hamiid Hamah, kutoka shule ya msingi ya wasichana Al-Ameed, ambayo ni miongoni mwa shule za Al-Ameed.
- 7- Taqii Arkaani Haliim, kutoka shule ya wasichana Nurul Abbasi (a.s), ambayo ni miongoni mwa shule za Al-Ameed.
- 8- Sara Muniir Abdurasuul, kutoka shule ya msingi ya wavulana Al-Ameed, ambayo ni miongoni mwa shule za Al-Ameed.
- 9- Ghadiir Abdulhussein Swadiq, kutoka shule ya msingi ya wasichana Alqamaru, ambayo ni miongoni mwa shule za Al-Ameed.
- 10- Huda Ali Hassan, kutoka shule ya sekondari ya wasichana Nurul Abbasi (a.s), ambayo ni miongoni mwa shule za Al-Ameed.
- 11- Ridha Ali Abbasi, kutoka shule ya sekondari ya wavulana Nurul Abbasi (a.s), ambayo ni miongoni mwa shule za Al-Ameed.
- 12- Muntadhir Farasi Swalahu, kutoka shule ya sekondari ya wavulana Sayyidul-maa, ambayo ni miongoni mwa shule za Al-Ameed.
- 13- Amal Aamir Swaahib, kutoka shule ya sekondari ya wasichana ya Al-Ameed, ambayo ni miongoni mwa shule za Al-Ameed.
- 14- Daniya Swalaah Mahadi, kutoka shule ya msingi ya wasichana Al-Ameed, ambayo ni miongoni mwa shule za Al-Ameed.
- 15- Zaharaa Muhammad Hussein aliyepata nafasi ya pili katika shule za msingi za msini za wasicha miongoni mwa shule za Al-Ameed.
- 16- Shaimaa Jaasim Muhammad, kutoka shule ya msingi ya wasichana Alqamaru, ambayo ni miongoni mwa shule za Al-Ameed.
- 17- Zaharaa Fadhili Ali, aliyepata nafasi ya pili katika shule ya msingi ya wasichana Alqamaru, ambayo ni miongoni mwa shule za Al-Ameed.
- 18- Muhammad Swadiq Aqiil, aliyepata nafasi ya pili katika shule ya msingi ya wavulana Al-Ameed, ambayo ni miongoni mwa shule za Al-Ameed.
- 19- Sajjaad Dhiyaau Haadi, aliyepata nafasi ya pili katika shule ya msingi ya wavulana Al-Ameed, ambayo ni miongoni mwa shule za Al-Ameed.
- 20- Ali Muhammad Hussein, aliyepata nafasi ya pili katika shule ya msingi Al-Ameed, ambayo ni miongoni mwa shule za Al-Ameed.
- 21- Mujtaba Liithi Abdulhussein, aliyepata nafasi ya pili katika shule msingi ya wavulana Al-Ameed, ambayo ni miongoni mwa shule za Al-Ameed.
- 22- Fatuma Haidari Ali, aliyepata nafasi ya pili katika shule ya sekondari ya wavulana Al-Ameed, ambayo ni miongoni mwa shule za Al-Ameed.
Wazazi wa wanafunzi waliofaulu wameonyesha furaha zao kwa Atabatu Abbasiyya tukufu kupitia kitengo cha malezi na elimu ya juu kwa kuwapa zawadi watoto wao walio faulu katika mitihani, wakasema kua jambo hili linawajenga wanafunzi na kuwatia moyo zaidi katika masomo na kuhakikisha wanaendelea kufanya vizuri, mlezi wa mwanafunzi Muhammad Swadiq Aqiil amesema kua: “Natoa shukrani za dhati kwa kitengo cha malezi na elimu ya juu cha Atabatu Abbasiyya tukufu na shule zote za Al-Ameed kwa kazi kubwa waliyo fanya kwa kuwafundisha watoto wetu kwa uweledi wa hali ya juu, sambamba na kutumia vifaa vya kisasa zaidi vya kufundishia, hakika tulihisi furaha kubwa sana tulipo pata mwaliko huu, wa kuja katika hafla ya kutoa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri”.