Tangazo: Madrasat Fadak Zaharaa (a.s) ya Qur’ani inatangaza shindano la kuhifadhi khutuba ya Fadakiyya (kwa wanawake tu)

Maoni katika picha
Madrasat Fadak Zaharaa (a.s) ya Qur’ani chini ya ofisi ya kiongozi mkuu wa kisheria wa Atabatu Abbasiyya tukufu Mheshimiwa Sayyid Ahmadi Swafi (d.i) inatangaza mashindano ya kuhifadhi (khutuba ya Fadakiyya) ya mtukufu wa wanawake wa duniani Fatuma Zaharaa (a.s) katika mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwake (a.s), tambua kua mashindano haya ni kwa wanawake tu.

Sehemu: Karbala tukufu, barabara ya Hussein (a.s) katika madrasat Fadak Zaharaa.

Siku: Ijumaa na Jumamosi (23-24 Jamadal Aakhar 1440h).

Zawadi kwa washindi:

Mshindi wa kwanza (250,000) dinari za Iraq.

Mshindi wa pili (150,000) dinari za Iraq.

Mshindi wa tatu (100,000) dinari za Iraq.

Pia kuna zawadi zingine mbalimbali.

Kushiriki katika shindano hili piga simu katika namba zifuatazo: (07803024885 – 07708007481 – 07602237285).

Mazingatio muhimu: Washindi wa mashindano haya wa miaka ya nyuma hawaruhusiwi kushiriki katika mashindano ya mwaka huu, ili kuwapa nafasi wakina dada wengine.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: