Kamera za mtangao wa kimataifa Alkafeel zinatuletea picha ya sasa ya dirisha jipya la Shuhadaau-Twafu, lililopo jirani na kaburi la bwana wa mashahidi Imamu Hussein (a.s), lililowekwa hivi karibuni na kuchukua nafasi ya dirisha la zamani, katika maongezi tuliyo fanya na rais wa kitengo cha ufundi cha Ataba tukufu Mhandisi Karim Ambaariy ameuambia mtandao wa Alkafeel kua:
- - Uzito wa dirisha unakaribia (tani 4).
- - Dhababu iliyotumika ni ya ayari (18) na uzani wa (kilo 9).
- - Zimetumika (kilo 804) za fedha katika matengenezo yake.
- - Zimetumika (kilo 200) za madini ya nuhaas.
- - Zimetumika (kilo 300) za stanles steel.
- - Zimetumika tani (2) za mbao za swaji burumiy.
- - Muonekano wa dirisha hili hautofautiani sana na dirisha la zamani.
- - Yametengenezwa mapambo ya mimea kwa njia ya herufi zilizotiwa rangi.
- - Ubunifu na utengenezaji umefanywa na kitengo cha ufundi na kufadhiliwa na kamati ya viongozi wa mji mtukufu wa Qum.