Mheshimiwa Marjaa mkubwa Sayyid Hakiim (d.dh) awahusia watumishi wa Ataba tukufu na mazuwaru kulinda amana kwa uaminifu na kuonyesha picha nzuri ya ushia duniani

Maoni katika picha
Mheshimiwa Marjaa Dini mkubwa Ayatullahi Sayyid Muhammad Said Hakiim (d.dh) amewahusia watumishi wa Ataba tukufu na mazuwaru, kulinda amana kwa uaminifu na ikhlasi, ili kutoa picha nzuri ya wafuasi wa Ahlulbait (a.s) duniani, ameyasema hayo alipo pokea ugeni wa watumishi wa Atabatu Abbasiyya tukufu.

Mwisho wa mazungumzo yake Sayyid Hakiim (d.dh) alimuomba Mwenyezi Mungu mtukufu awawezeshe kuendelea kutoa huduma hiyo tukufu, taufiq ya Mwenyezi Mungu ienee kwa waumini wote, awawezeshe kufanya kila lenye kheri na mafanikio katika Dini na Dunia yao, hakika yeye ni mwingi wa kusikia na mwingi wa kujibu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: