Kituo cha turathi za Basra chini ya kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu cha Atabatu Abbasiyya tukufu kimetoa nakala ya nne ya jarida la (turathi za Basra) lililo andikwa vizuri kwa kufuata vigezo vya kielimu, na limekusanya tafiti mbalimbali zilizo fanywa na watafiti tofauti kutoka vyuo vikuu vya Iraq, zikiwa jumla ni tafiti tane na moja ikiwa imeandikwa kwa lugha ya kiengereza.
Kumbuka kua jarida hili limekaguliwa na vyuo vikuu sita vya Iraq hadi kufikia kutolewa kwake.