Miongoni mwa bidhaa za shirika la Aljuud: Mbolea ya maji ya Taaju iliyo onyesha mafanikio makubwa na ubora wake katika soko la ndani

Maoni katika picha
Miongoni mwa mbolea za maji zinazo tengenezwa na shirika la teknolojia ya viwanda na kilimo cha kisasa Aljuud yenye viwango vya juu na iliyo fanyiwa majaribio shambani na maabara ni mbolea ya maji ya Taaji, inakiwango cha juu cha Fasfuur na Netrojen kwa ajili ya kustawisha mimea ya mboga mboga na miti ya matunda.

Tofauti ya mbolea hii na zingine zilizopo sokoni ni:

  • - Inaweza kufanya kazi katika mazingira mbalimbali, na kwa kiwango kidogo cha chunvi.
  • - Inasaidia kupunguza kiwango cha chunvi katika maji ya kumwagilizia.
  • - Inauwezo mkubwa wa kuzifanya chembe chembe hai za mmea zisiathiriwe na aina ya udongo uliotumika shambani.
  • - Inafyonzwa kwa urahisi na mimea.
  • - Inaongeza kiwango cha mavuno shambani.
  • - Inachembechembe nyingi za Fusfuur na Netrojen.
  • - Inafaa kwa kilimo cha mbogamboga na miti ya matunda.
  • - Inaweza kutumika kwa njia tofauti (kurashiwa katika majani ya mmea au kuwekwa kwenye udongo)

Hii ni miongoni mwa bidhaa za shirika la Aljuud iliyo fanyiwa uchunguzi na majaribio mengi na yote yameonyesha mafanikio makubwa, katika kulinda ubora wa mmea na kuustawisha kulingana na mazingira, mbolea hii imetengenezwa mahsusi kwa ajili ya mboga mboga za aina mbalimbali, na imeonyesha mafanikio makubwa, inapatikana katika vituo vya mauzo ya moja kwa moja vilivyo chini ya shirika hili ndani na nje ya mkoa wa Karbala, kwa maelezo zaidi unaweza kupiga simu zifuatazo: (07801930125 / 07801035422) au tembelea kituo cha mauzo ya moja kwa moja cha shirika kilichopo barabara ya (Najafu / Karbala) mkabala na nguzo namba (1145).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: