Haqibatu Mu-umin imewekwa katika mfumo mpya na kuingizwa vitu vipya…

Maoni katika picha
Miongoni mwa App (aprication) ambazo zimeonyesha mafanikio makubwa ndani na nje ya Iraq ni App ya (Haqibatu Mu-umin), ambayo ilitengenezwa na idara ya Intanet ofisi ya App (aprications), watumishi wa idara ya App kila wakati hufikiria kutengeneza App bora zaidi kwa ajili ya Atabatu Abbasiyya Abbasiyya tukufu, hivi karibuni wametengeneza upya App ya (Haqibatu Mu-umin) na kuiboresha Zaidi kwa kiasi ambacho imekua rahisi kuitumia na inakupatia jambo unalotaka kwa haraka.

Maboresho na mabadiliko yaliyo fanywa ni ya mara ya saba, mabadiliko yameanzia kwenye usanifu hadi katika milango yake mikuu pamoja na kurasa zake, miongoni mwa mabadiliko makubwa yaliyo fanyika ni:

 • - Kubadilisha alama kuu ya App.
 • - Kuongeza lugha ya kiengereza.
 • - Kuongeza ukurasa wa (almufadhwala).
 • - Kuongeza ukurasa wa Istikhara.
 • - Kuongeza vitu katika App.
 • - Kuongeza swala za usiku na idadi ya rakaa.
 • - Kuongeza Quráni tukufu na tafsiri yake.
 • - Dua kadhaa kwa sauti za wasomaji wapya.
 • - Sehemu ya kubadilisha msomaji wa dua na ziara.
 • - Imeboreshwa katika upakuaji wake kwa ujumla, tofauti na ilivyo kua zamani.
 • - Imeboresha katika Boswala.
 • - Uwezekano wa kutumia ukumbushaji wa adhani katika ukurasa mkuu wa App.
 • - Kuongeza utambuzi wa hali ya hewa katika kila mji.

Pamoja na milango ya zamani iliyokuwepo katika App.

Kumbuka kua App inapatikana katika (Google Play).

Kwa kupakua App hiyo bonyeza (App Store) au angia katika ukurasa wa App kwenya mtandao wa kimataifa Alkafeel.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: