Madrasa ya Quráni Fadak Zaharaa (a.s) yatangaza majina ya washindi wa shindano ya kuhifadhi khutuba ya Alfadakiyya.

Maoni katika picha
Madrasa ya Quráni Fadak Zaharaa (a.s) ambayo iko chini ya ofisi ya kiongozi mkuu wa kisheria wa Atabatu Abbasiyya tukufu, Mheshimiwa Sayyid Ahmadi Swafi (d.i), imetangaza majina ya washindi wa shindano la kuhifadhi khutuba ya Fadakiyya, ya mbora wa wanawake wa duniani bibi Fatuma Zaharaa (a.s), lililo fanywa siku za nyuma katika maadhimisho ya kuzaliwa kwake na yaliyo wahusisha wanawake tu.

Idara ya madrasa imesema walio faulu ni:

Nafasi ya kwanza: Fatuma Abdulkarim, Sanaa Jamiil, Saji Fadhili Abbasi, Hauraa Dhwariy.

Nafasi ya pili: Baniin Aamir, Faatin Ibrahim, Zaharaa Saalim, Aswiil Abdallah.

Nafasi ya tatu: Hibatullahi Ismaili, Ghadiir Abdulkarim, Mardhiyya Jabbaar.

Washindi waliotangazwa majina yao wafike katika ofisi ya madrasa iliyopo Karbala mtaa wa Hussein (a.s).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: