Muhimu: Kamati ya maandalizi imetangaza matokeo ya shindano la mashairi ya Amuudi yatakayo somwa katika kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada

Maoni katika picha
Baada ya kuchuja nakala zitakazo shiriki katika shindano la mashairi kwenye kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada, kamati ya maandalizi ilipokea nakala (168) za mashairi zilizo kua zimeomba kushiriki katika shindano, baada ya mchucho wa kwanza zikabaki nakala (111).

Zilipo wasilishwa katika kamati ya majaji wamezichuja na kubaki nakala (30), kisha wakazichuja na kubaki nakala (10) hizo ndio zilizo faulu kuingia katika shindano la kongamano, ushindani ulikua mkali sana kutokana na kukaribiana kwa alama zao, pamoja na hivyo jumla ya nakala (11) zimechaguliwa kama washindi.

Matokeo ya kamati yapo kama ifuatavyo:

Tambua: (Majina yamepangwa kwa mujibu wa herufi na sio kwa nafasi za ushindi, matokeo ya mwisho yatatangazwa mwishoni mwa kongamano ambapo majina yataandikwa kwa kufuata nafasi za ushindi).

  1. Ahmadi Ridhwa Salmaan (Ilyadhat katika surat Nahli) kutoka Baharaini.
  2. Husaam Albatwaat (safari ya kwenda kwa bwana wa maana) kutoka Iraq.
  3. Hussein Ali Abdullahi Aali Ammaar (kabla ya kuzaliwa ndoto) kutoka Saudia.
  4. Hussei Twaha Hussein (tarjama ya Allah kwa viumbe) kutoka Iran – Ahwaaz.
  5. Karim Swabri Naim (jeraha katika mlango wa pango). Kutoka Iraq.
  6. Fatihatu Ma’muri (waliyyul-maau) kutoka Algeria.
  7. Fadhili Abbasi Abedi (abjadiyatu Twafu) kutoka Iraq.
  8. Masaru Riyadhi (utafiti katika kitabu cha Zaariul-Aimal) kutoka Iraq.
  9. Mahadi Shaakir Nahiri (shida lakini Hussein) kutoka Iraq.
  10. Nasoro Ahmadi Zain (uzawa kwa lugha ya Arshi) kutoka Baharain.
  11. Nadhiru Mudhwafar (kisomo cha damu) kutoka Iraq.

Kamati ya maandalizi imeamua kutoa zawadi kwa nakala zingine (19) kuanzia namba (12) hadi (30), ambapo zitapewa zawadi pamoja na vyeti vya ushiriki, halafu nakala zote zitachapishwa katika kitabu maalumu.

Yafuatayo ni majina ya washairi watakao pewa zawadi:

  • 1- Sajjaad Abdu-Nabi Fadhili (mazingira ya hofu katika saa ya mwisho) kutoka Iraq.
  • 2- Sayyid Ahmadi Hashim Muhammad Alawiy (maji kumuunguza midomo yake) kutoka Baharain.
  • 3- Mahmudu Kaadhim Ahmadi Bawi (dharwatul-majdi) kutoka Iraq.
  • 4- Ali Najmu Abdullahi (baada ya mkuki wa mwisho) kutoka Iraq.
  • 5- Farasi Farazat Qutwani (ratbu ishtiraaq) kutoka Sirya.
  • 6- Amalu Abdullahi Ali Faraju (qurabaaul-atwashu) kutoka Saudia.
  • 7- Khalili Akazi Rasni Gharibawi (sakratu chini ya mbingu) kutoka Iraq.
  • 8- Hussein Jaaru-Llah (kuchomoza kwa mauwa ya msimu) kutoka Iraq.
  • 9- Hussein Aabidu (darbu mu’taqu bilkhuluud) kutoka Baharain.
  • 10- Abdullahi Abdul-Azizi (mbele ya Imamau) kutoka Iraq.
  • 11- Ali Shawili (uhakika) kutoka Iraq.
  • 12- Yaasir Abdullahi Ali Aali-Ghariib (Karbala… Ashiyyatul-Khuluud) kutoka Iraq.
  • 13- Shadhi Naufal Qassim (arshul-anwaar) kutoka Sirya.
  • 14- Zaharaa Jaasim Ahmadi Aashuur – kutoka Baharain.
  • 15- Farasi Kaadhim Matani (miíraajul-Jaraah) kutoka Iraq.
  • 16- Abbasi Kaadhim Abudi Al-Ajili (ala takhumul-ashqi) kutoka Iraq.
  • 17- Fatuma Mustafa Ayubu (maana yako katika maji) kutoka Lebanon.
  • 18- Qassim Muhammad Swaaleh Shimri (kupitia majina yao) kutoka Iraq.
  • 19- Ahmadi Hassan Abu-Ilyaas (jua katika mwanga wa Hussein) kutoka Misri.

Kamati ya maandalizi inawatakia mafanikio mema washairi wote walioshiriki, ikasisitiza kua kushiriki katika shindano hili peke yake ni ushindi, na inatoa wito kwa wote walio shiriki wahudhurie katika vikao vya usomaji wa mashairi vitakavyo fanyika katika kongamano siku ya Ijumaa mwezi sita Shabani 1440h.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: