Balozi wa Japani amekutana na Mheshimiwa Sayyid Ahmadi Swafi (d.i) kiongozi mkuu wa kisheria wa Atabatu Abbasiyya tukufu, wamejadili namna ya kukuza ushirikiano kati ya Atabatu Abbasiyya na Jabani, hasa katika sekta ya tiba na utamaduni, balozi ameonyesha kufurahishwa na ziara yake.