Kusongamano mazuwaru kwa ajili ya kutabaruku naye na kumzuru kwa mbali: Bendera za Ataba tukufu zanawirisha mazingira wa Teheran katika maonyesho ya vitabu ya kimataifa.

Maoni katika picha
Vijana, watoto na wazee wamezunguka bendera ya kubba ya dhahabu ya Abulfadhil Abbasi (a.s), huku baadhi yao wakitokwa machozi na wengine wanamuomba Mwenyezi Mungu awakidhie haja kwa Baraka zake, na zikisikika sauti za usomaji wa ziara ya mashahidi wa Twafu kutoka kwa watu wanaosoma huku wakiwa wamegusa bendera.

Yote hayo yanafanywa wakiwa wamesimama mbele ya sanduku lenye bendera ya kutabaruku na kubba la bwana wa mashahidi Imamu Hussein (a.s), lenye utukufu wa pekee, na wakiwa na shauku ya kupata Baraka zake ndani ya tawi la Ataba mbili tukufu Husseiniyya na Abbasiyya, kwenye maonyesho ya vitabu ya kimataifa ya mwaka wa 32 kama kawaida kwa harakati za Ataba tukufu za Iaq.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: