Ofisi ya Marjaa Dini mkuu Ayatullah Sayyid Sistani katika mji mtukufu wa Najafu, imetangaza kua kesho Jumatatu tunakamilisha mwezi wa Shabani (1440h), na siku ya Jumanne sawa na (07/05/2019m) ndio siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani (1440h).
Ufuatiliaji na uhariri: kamati ya wahariri wa mtandao wa kimataifa Alkafeel.