Katika kusisitiza umuhimu wa kubatilishana uzowefu na kufanya kazi kwa kushirikiana: kituo cha kupiga picha nakala kale na faharasi kimepokea wageni kutoka idara ya kuhuisha turathi ya Atabatu Abbasiyya tukufu.

Maoni katika picha
Kituo cha kupiga picha nakala kale na faharasi chini ya maktaba na Daru Makhtutwaat ya Atabatu Abbasiyya tukufu kimepokea wageni kutoka idara ya kuhuisha turathi ya Atabatu Abbasiyya wakiongozwa na mkuu wa idara Shekh Muhandi Aqaabi, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano na kubadilishana uzowefu.

Ugeni huo umepokelewa na mkuu wa kituo Ustadh Swalahu Mahadi Abdulwahabi, aliyetoa maelezo kuhusu kazi zinazo fanywa na vitengo vyoa pamoja na wanazo tarajia kufanya siku za baadae.

Mwishoni mwa ziara hoyo Shekh Aqaabi akasifu juhudi zinazo fanywa na kituo hicho kwa kuhifadhi na kutunza turathi za kiislamu, akaonyesha kufurahishwa na utendaji wa wasimamizi wa kituo pamoja na maendeleo makubwa ya teknolojia waliyo piga, kwa kutunza turathi za zamani kupitia elimu tofauti, wageni wakakiombea baraka na mafanikio kituo na kiweze kukamilisha safari yake ya kutunza turathi na nakala kale.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: