Ndani ya Atabatu Abbasiyya tukufu: Namna waumini walivyo fanya ibada za usiku wakiongozwa na nguzo ya uongofu.

Maoni katika picha
Katika mazingira ya kiroho na muonekano wa unyenyekevu waumini wamefanya ibada katika usiku wa pili wa Lailatul-Qadri na siku ya kifo cha kiongozi wa waumini Ali bun Abu Twalib (a.s) mbele ya makaburi ya watoto wake Imamu Hussein na Abulfadhil Abbasi (a.s).

Atabatu Abbasiyya tukufu imeandaa mahitaji yote ya lazima kwa mazuwaru yanayo wawezesha kutekeleza ibada za usiku huu mtukufu ambao waumini wamejitokeza kwa wingi kumzuru Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) na kufanya ibada zingine, kama kusoma dua ya kuweka misahafu kichwani na dua ya Jaushen Alkabiru kwa vikundi au mmoja mmoja.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: