Kitengo cha Dini kimeratibu nadwa za kujenga uelewa kwa watumishi wa Atabatu Abbasiyya tukufu.

Maoni katika picha
Kitengo cha Dini cha Atabatu Abbasiyya tukufu kinaendesha nadwa za kujenga uwelewa kwa watumishi wa kitengo cha malezi na elimu ya juu, nadwa inahusu makuzi ya akili, na imepata mwitikio mkubwa.

Mtoa mada alikua ni Shekh Swalahu Karbalai ambae ni rais wa kitengo cha Dini katika Atabatu Abbasiyya tukufu, amezungumzia changamato zinazo ikumba jamii kwa ujumla na akazungumzia rasmi changamoto za waumini, akawahimiza watumishi walitumikie taifa na Dini kwa uwaminifu na wawemacho kubaini jambo lolote linalo weza kuleta madhara kwa taifa au kwa wananchi na mali zao.

Nadwa hii ni sehemu ya mkakati wa Atabatu Abbasiyya tukufu wa kuongeza elimu za watumishi wake.

Fahamu kua kitengo cha Dini katika Atabatu Abbasiyya tukufu kilikua kimesha fanya nadwa kwa watumishi wa Abulfadhil Abbasi (a.s) wa vitengo vingine, na walizungumzia mada tofauti kuhusu jamii kwa ujumla.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: