Msafara wa Saaqi umetangaza ratiba mpya ya ziara za malalo tukufu za Iran.

Maoni katika picha
Kitengo cha safari za kidini na kunufaika na magari ya Atabatu Abbasiyya tukufu kupitia msafara wa Saaqi, kimetangaza ratiba ya safari za Iran (usafiri wa nchi kavu) kumzuru Imamu Ridhwa na bibi Fatuma Maasuma (a.s) kwa muda wa siku kumi na nne (siku 6 Mash-hadi + 4 Qum tukufu).

Ratiba inajumuisha viza na usafiri, gharama ya mtu mmoja ni dinari (260,000), basi zinazo tumika ni za kitalii na za kisasa na watakaa katika hoteli za kisasa na kutakua na safari mbalimbali za utalii wa kidini.

Kwa maelezo zaidi fika katika matawi ya kitengo cha utalii wa kidini na kunufaika na magari yafuatayo:

Tawi la kwanza: Mlango wa Bagdad/ 07801952463 /07602283026.

Tawi la pili: Mkabala na mlango wa Kibla wa Abulfadhil Abbasi (a.s)/ 07602327074.

Tawi la tatu: Mtaa wa Huru – kituo cha mauzo ya moja kwa moja Alkafeel/ 07602420994/2.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: