Maoni katika picha
Bidhaa zake zimekua kimbilio la wakulima wa Iraq, kwani ndio jibu pekee la matatizo ya sekta ya kilimo waliyo kua nayo, wanatumia mbolea zinazo tengenezwa na shirika hilo sambamba na dawa za kutibu maradhi tofauti ya mazao.
Fahamu kua bidhaa zote zinazo tengenezwa na shirika la teknolojia ya kilimo cha kisasa na viwanda Aljuud, zinatengenezwa kwa kutumia malighafi za ndani na watalamu wazalendo.
Kwa maelezo zaidi sikiliza video