Maoni katika picha
Kituo cha uchapishaji na kutengeneza matangazo bora kilikua na bado kinaendelea kua bega kwa bega na vitengo vyote vya Atabatu Abbasiyya tukufu, kinafanya kazi kwa kutumia teknolojia za kisasa, kazi zake zinazingatia utukufu wa mwenye malalo Abulfadhil Abbasi (a.s) kwa ajili ya kuhakikisha wanaweza kujitegemea.
Kwa maelezo zaidi angalia video.