Muhimu: Kikosi cha Abbasi (a.s) cha wapiganaji kinatoa wito kwa vyombo vya habari kuhudhuria katika mkutano maalum na waandishi wa habari wa kuzindua kifaru cha (Alkafeel/1).

Maoni katika picha
Katika kuadhimisha mwaka wa tano tangu ilipo tolewa fatwa tukufu ya kujihami, kikosi cha Abbasi (a.s) cha wapiganaji (bulged ya/26 Hashi Shaábi) kimetoa wito kwa vyombo vya habari vishiriki katika mkutamo wa waandishi wa habari wakati wa kuzindua kifaru kiitwacho (Kifaru cha Alkafeel/1), walicho kitengeneza na kukiboresha kwa mfumo maalum wa (T55) unaotumika kuboresha vifaru vya kirusi, kazi yote imefanywa na wananchi wa Iraq katika kikosi cha Abbasi (a.s).

Siku: Kesho Alkhamisi (13 Juni 2019m) saa nne asubuhi.

Sehemu: Makao makuu ya kikosi katika mji wa mazuwaru Alqami barabara ya (Karbala – Baabil).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: