- 1- Narjisi Ibrahim, kisa chake kinasema: (Ili tutulize macho yetu).
- 2- Nurul Huda Aali Jabri, kisa chake kinasema: (Ali ni ahadi iliyobaki).
- 3- Zaharaa Muhammad Rasuul, kisa chake kinasema: (Utume mtukufu).
- 4- Zaharaa Husaam Shaharabali, kisa chake kinasema: (Katika njia ya Jaamia).
- 5- Imani Ibrahim Abdu, kisa chake kinasema: (Mapumziko ya mwisho).
- 6- Zaharaa Haafidh, kisa chake kinasema: (Njia yangu kwenda kwenye nuru).
- 7- Sara Nabiil, kisa chake kinasema: (Bado wanapenda kazi).
- 8- Zina Abbasi, kisa chake kinasema: (Mama yangu kaondoka lakini mwalimu wangu yupo).
- 9- Zaharaa Swadiq Twalibu, kisa chake kinasema: (Simulizi ya ndoto baada ya elimu).
- 10- Zainabu Dhiyaau, kisa chake kinasema: (Mwezi ni shahidi yangu).
Mshindi wa kwanza amepewa dinari (300,000) na mshindi wa pili dinari (200,000), mshindi wa tatu dinari (150,000) pamoja na zawadi zingine ambazo wamepewa washindi saba walio fuata pia.
Fahamu kua kituo cha utamaduni wa familia chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu, kiliendesha mashindano ya (mradi wa uhai) wa kutunga kisa kifupi kwa wasichana wenye umri wa miaka (15-30).