Wanafunzi wa shule za Al-Ameed wapata nafasi za juu

Maoni katika picha
Wanafunzi wa shule za Al-Ameed wamepata nafasi za juu katika mkoa wa Karbala baada ya kutangazwa matokeo ya mtihani wa kuhitimu darasa la sita la shule za msingi na wizara ya malezi ya Iraq.

Matokeo hayo yanatokana na juhudi kubwa inayofanywa na walimu pamoja na wanafunzi bila kuwasahau viongozi wa idara, wote kwa pamoja wamechangia mafanikio haya.

Wanafunzi waliopata nafasi za juu ni hawa wafuatao:

Shule ya msingi Al-Ameed ya wavulana:

  • 1- Mujtaba Amaad Karim Kaadhim.
  • 2- Murtadha Haatif Kaadhim Jaasim.
  • 3- Muhammad Abdurazaaq Khalfu Hassan.
  • 4- Abbasi Muhammad Jaasim Muhammad.
  • 5- Ahmad Muzaahim Abdullahi Jawaad.

Shule ya msingi Al-Ameed ya wasichana:

  • 1- Ayaat Swalaah Ghaalib Jahiil.
  • 2- Zainabu Haidari Dhiyaau Khaliil.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: