Maahadi ya wenye mahitaji maalum Alkafeel katika mji mtukufu wa Karbala ni zao zuri linalo tokana na Abulfadhil Abbasi (a.s).

Maoni katika picha
Kwa ajili ya kuimarisha nguvu kazi ya jamii kielimu na kiufundi kwa watoto wenye mahitaji maalumu (wenye ulemavu) chini ya Atabatu Abbasiyya, zimeandaliwa kozi za masomo mbalimbali ya kiufundi, kwa ajili ya kuwafundisha watoto wenye mahitaji maalum (wenye ulemavu) ili waweze kujitegemea katika maisha yao.

Kwa kufanya hivyo Maahadi inakua imechangia maendeleo ya jamii kielimu na kiufundi na inasaidia kuwaingiza katika jamii na kufanya kazi sambamba na watu wengine bila kizuwizi chochote.

Yote hayo yanafanywa kwa kufuata mfumo maalum wa masomo ulio andaliwa na Maahadi Alkafeel kwa watoto wenye ulemavu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: