Katika haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s): Washairi wanapaza sauti zao kuhusu fatwa na mwitikio wake

Maoni katika picha
Ukumbi wa haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s) jioni ya tarehe (23 Shawwal 1440h) sawa na (27 Juni 2019m), miongoni mwa ratiba ya siku ya kwanza ya kongamano la fatwa tukufu ya kujilinda la mwaka wa nne, kimefanyika kikao cha kusoma mashairi, washairi waliimba kuhusu fatwa ya kujilinda na namna ilivyo okoa taifa la Iraq na maeneo matakatifu, sambamba na kuwasifu walio itikia wito wa fatwa hiyo miongoni mwa raia wa Iraq, wameimba mashairi na kaswida nzuri katika kikao kilicho kua na mahudhurio makubwa ya mazuwaru watukufu.

Kikao hicho kilifunguliwa kwa Qur’ani tukufu kisha washairi wakaingia ulingoni, miongoni mwa washairi wao ni:

  • 1- Farasi Asadi kutoka Karbala.
  • 2- Haamid Shimri kutoka Bagdad.
  • 3- Hassan Barki kutoka Samawa.
  • 4- Zainul-Aabidina Saidi kutoka Karbala.
  • 5- Hassan Ajili kutoka Baabil.
  • 6- Mustwafa Ayashi kutoka Karbala.
  • 7- Zaidi Salami kutoka Najafu.

Kisha kisomo cha mashairi kikahitimishwa kwa kisomo cha Qur’ani takatifu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: