(Hamlatu Twafu/ Ahli Hashimiyya) wagawa maji, juisi na barafu kwenye vituo kumi vya mitihani katika mkoa wa Baabil

Maoni katika picha
Kufuatia kuanza mitihani ya kumaliza elimu ya shule za msingi (Hamlatu Twafu/ Ahli Hashimiyya) idara ya Baabil chini ya ofisi ya ustawi wa jamii katika Atabatu Abbasiyya tukufu, wamegawa maji, juisi na barafu kwa wanafunzi watukufu kwenye vituo vya mitihani katika wilaya ya Hashimiyya, vituo zaidi ya kumi (10) vimepata huduma hiyo.

Jambo hilo ni miongoni mwa huduma za kibinadamu zinazo tolewa na idara ya ustawi wa jamii ya Atabatu Abbasiyya tukufu katika miji tofauti ya Iraq na kwa tabaka za watu tofauti.

Fahamu kua wanaendelea kutoa huduma hiyo hadi wanafunzi watakapo maliza kufanya mitihani.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: