Maoni katika picha
Wanafanya kazi kwa kutumia mitambo ya kisasa ukiwemo mtambo wa (Mdf) na mafundi wote ni wananchi wa Iraq wenye uwezo na uzowefu mkubwa.
Fahamu kua kitengo cha usimamizi wa kihandisi ni miongoni mwa vitengo vya ujenzi katika Atabatu Abbasiyya tukufu, kinajukumu la kukarabati na kutengeneza vitu mbalimbali, kinamchango mkubwa katika miradi mingi inayo fanywa na Ataba tukufu.