Kituo cha utamaduni wa familia chatangaza kuanza kwa masomo ya namna ya kukabiliana na maisha ya kifamilia na chakaribisha washiriki

Maoni katika picha
Kutokana na kuendelea kwa harakati za ufundishaji, kituo cha utamaduni wa familia chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu kimetangaza kuanza kwa masomo ya namna ya kukabiliana na maisha ya kifamilia wiki ya tano mfululizo.

Kituo kimebainisha kua; mihadhara itakuwa inatolewa katika ukumbi wa kituo cha utamaduni wa familia uliopo ndani ya jengo la Swidiiqah Twahirah (a.s) lililopo katika mtaa wa Mulhaq kwenye mkoa wa Karbala, kuanzia Jumamosi ijayo (13/07/2019m) saa tatu (03:00) asubuhi hadi saa sita (06:00) Adhuhuri, kutakua na mihadhara miwili: wa kwanza unahusu: (Nguvu nzuri za fikra), na wa pili unahusu: (Namna gani tarekebisha tabia ya mwanangu), usafiri wa washiriki umeandaliwa.

Kwa yeyote anaye taka kushiriki au maelezo zaidi apige simu kwa namba ifuatayo (07828884555) namba hiyo pia inapatikana kwenye (Viber, Whatsapp na Telegram), pia anaweza kujiunga kupitia linki ifuatayo: https://t.me/thaqafaasria1
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: