Atabatu Abbasiyya tukufu yatoa pongezi kwa waislamu wa Iraq na ulimwengu kwa ujumla kwa kuingia Iddul-Adh-ha
Kwa mnasaba wa Idhul-Adh-ha tukufu Atabatu Abbasiyya na wafanya kazi wake wote wanatoa pongezi kwa Imamu wa zama Mahadi (a.f) na Maraajii watukufu pamoja na waislamu wa Iraq na dunia kwa ujumla, tunamuomba Mwenyezi Mungu mtukufu awape afya na amani waislamu wote, na alipe neema na utulivu taifa letu, alinde umoja wake na afelishe njama za maadui hakika yeye ni mwingi wa kusikia na mwingi wa kujibu.