Hivi punde… uzinduzi wa dirisha jipya katika mazaru wa Qassim bun Imamu Alkadhim (a.s)

Maoni katika picha
Mji wa Qassim unashuhudia tukio la kihistoria, funguo za dirisha jipya la mazaru ya Qassim bun Imamu Mussa Alkadhim (a.s) zimekabidhiwa kwa uongozi wa mazaru hiyo na kuzinduliwa rasmi.

Dirisha hili ambalo limebeba utukufu wa Abulfadhil Abbasi (a.s) ni mafanikio muhimu yaliyo kua yanasubiriwa na wakazi wa mji wa Qassim tangu kiwanda cha Saqaa kilicho chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu kupewa jukumu la kutengeneza dirisha hilo.

Kumbuka kua dirisha jipya la mazaru takatifu ni miongoni mwa mafanikio mazuri yaliyo fanywa na Atabatu Abbasiyya tukufu kupitia mikono ya raia wa Iraq.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: