Kitengo cha stoo kilitoa taa (4375) kwa mawakibu na vikundi vya Husseiniyya

Maoni katika picha
Miongoni mwa huduma zake walizo toa kwa mawakibu na vikundi vya Husseiniyya, kitengo cha stoo katika Atabatu Abbasiyya tukufu kilitoa taa (4375) kwa mawakibu na vikundi vya Husseiniyya katika eneo la mji mkongwe ndani ya siku kumi za kwanza za mwezi wa Muharam.

Jambo hilo ni miongoni mwa huduma za kitengo hicho kwa mawakibu na mazuwaru katika msimu wa maombolezo ya Husseiniyya.

Kumbuka kua kitengo cha stoo huandaa vifaa na kuvitunza, ni kiungo muhimu kinacho tegemewa na vitengo vyote vya Ataba tukufu, hutoa huduma mbalimbali kwa mazuwaru watukufu katika misimu ya ziara kubwa.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: