Wakati wa kufunga semina hiyo, wanasemina wamepewa vyeti vya ushiriki na kupongezwa na wasimamizi kuwa ushiriki wao ulikua mzuri na wameongeza maarifa katika fani zao, kupitia mada zilizo fundishwa, inatupa moyo wa kuandaa semina zingine siku za mbele na kufundisha mambo tofauti.
Kumbuka kua semina hiyo imefanyika ndani ya ukumbi wa Qassim (a.s) katika Atabatu Abbasiyya chini ya walimu walio bobea katika mada zilizo fundishwa ndani ya siku zote kumi, kila siku walifundishwa mada mbili au tatu, siku ya kwanza walifundishwa mada zifuatazo:
- - Uandishi wa mradi.
- - Hafla ya utambulisho.
- -