Hivi punde… Ofisi ya Ayatullah mtukufu Sayyid Sistani yatangaza kua kesho siku ya Jumatatu itakua mwezi mosi Safari
Ofisi ya Marjaa Dini mkuu katika mji wa Najafu Ayatullah mtukufu Sayyid Ali Sistani imetangaza kua kesho Jumatatu (30 Septemba 2019m) itakua siku ya kwanza ya mwezi wa Safari mwaka (1441h).