Weka kidole chako katika matembezi ya Arubaini kupitia App ya Anaa maakum

Maoni katika picha
Miongoni mwa huduma zake katika ziara ya Arubaini katika kwa mwaka wa tatu mfululizo, mtandao wa kimataifa Alkafeel ambao ni mtandao rasmi wa Atabatu Abbasiyya umetengeneza App iitwayo (Anaa maakum) inayo patikana kupitia simu za kisasa (Smart phon) kwa ajili ya kufungua uga mpana zaidi kuhusu ziara hii, kila mtu anaweza kuipakua kwa kutumia link zifuatazo:

https://play.google.com/store/apps/details?id=alkaefel.net.anh
au: https://itunes.apple.com/us/app/ana-m-km/id1172405052?mt=8
App hiyo inamuwezesha kila mtu kutuma picha au video atakayo piga wakati wa matembezi ya kwenda Karbala, hali kadhalika anaweza kutuma maoni kuhusu jambo lolote, baada ya kukaguliwa ujumbe huo au picha na kujiridhisha unaweza kuonekana kwenye App ya (Anaa maakum) kwenye mtandao wa kimataifa Alkafeel.

Fahamu kua hii ni miongoni mwa App nyingi zilizo tengenezwa na mtandao wa Alkafeel, imebuniwa na kupangiliwa na idara ya Intanet chini ya kitengo cha habari na utamaduni cha Atabatu Abbasiyya tukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: